YEAR 6 SWAHILI

Created
Best for asynchronous learning and homeworkAssign in student-paced mode
Best for live in-class or video conferencing lessonsStart teacher-led lesson
Preview as student
Worksheet Image

SWAHILI YEAR 6 END OF SEMESTER EXAMS Translate this sentences to swahili(10mks) a).My teacher gave us some work b).School children will be awarded c).My mother loves cooking d)Vitabu vyake vilipotelea darasani e)Mercy anapenda Kiswahili sana

Worksheet Image

Read this passage and answer questions Jana tulienda kuwatembelea wanyama huko Maasai Mara.Safari yetu ilianza saa moja asubuhi na kila mmoja alikuwa na furaha sana. Tulifika saa sita mchana na tukapumzika kwanza na kula chamcha.Ilikuwa safari ya kufurahisha kwani niliwaona wanyama wengi kama twiga,kifaru,ndovu na hata simba.Simba ni mnyama nimpendaye na nilipiga picha tele zake.pia nilimwona mamba huko majini .sikuweza kuwaona wanyama wengine kwani muda ulikuwa umeisha.Mama yangu aliahidi kunirudisha huko tena mwezi wa Aprili.Tulifika nyumbani saa tano usiku na kupumzika kutokana na uchovu. 1)Tulienda kutembelea wanyama wapi (2MKS) 2)Safari ilianza saa ngapi(1mk) 3)Tulifika saa ngapi maasai mara(1mk) 4)Tuliwaona wanyama kama (3mks)

Worksheet Image

, , . 5).Nilimwona huko majini(1mk.) 4)Mama yangu aliahidi kunirudisha mwezi wa (2mks) Write an essay about your family .(20mks)

Worksheet Image