SWAHIL YEAR 5

Created
Best for asynchronous learning and homeworkAssign in student-paced mode
Best for live in-class or video conferencing lessonsStart teacher-led lesson
Preview as student
Worksheet Image

SWAHIL YEAR 5 END OF SEMESTER EXAMS Translate this sentences to swahili(6mks) A).My teacher gave us some work B).School children will be awarded C).My mother loves cooking Name this music instruments(4marks)

Worksheet Image

Translate this words in Swahili(10mks) Ng’ombe Pundamilia Farasi Simba Chui Ngoma

Worksheet Image

Kodiani Kandanda Netiboli. Read this passage and answer questions Jana tulienda kuwatembelea wanyama huko Maasai Mara.Ilikuwa safari ya kufurahisha kwani niliwaona wanyama wengi kama twiga,kifaru,ndovu na hata simba.Simba ni mnyama nimpendaye na nilipiga picha tele zake.pia nilimwona mamba huko majini .sikuweza kuwaona wanyama wengine kwani muda ulikuwa umeisha.Mama yangu aliahidi kunirudisha huko tena mwezi wa Aprili.Tulifika nyumbani saa tano usiku na kupumzika kutokana na uchovu. 1)Tulienda kutembelea wanyama wapi (2MKS) 2)Tuliwaona wanyama kama (3mks) , , . 3).Nilimwona huko majini(2mks) 4)Mama yangu aliahidi kunirudisha mwezi wa (2mks) Write an essay about your friend .(10mks)

Worksheet Image